35 Replies to “Form Four Results Released”

  1. Usually in February. NECTA does not announce ahead of time, so we have to wait and see. Mara nyingi yanatoka mwezi wa pili kwa sababu kuna kazi kubwa sana ya kusahihisha mitihani ya wanafunzi 350,000. Mwaka jana, lakini, yalitangaziwa tarehe 26, mwezi wa kwanza. Tutaona.

 1. Hi I had exactly the same question regardin the form4 results 2011 but quite frankly im satisfied with the answers that you’ve given out Brian Thanks You really are a great help. So Feburay it is then were crappin our pants mate, well i know that Iam Boi oh boi

  1. Form Four Results are available at the following sites

   Some of them are not working, so try another.

   Hapo juu kuna viungo vya tovuti za matokeo ya NECTA CSEE 2011. Nyingine zinakuwa busy muda mwingine, kwa hiyo zijaribu zote.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.